Moja kati ya wasanii wenye usongo na muziki wa kizazi kipya hapa Bongo ni Helton Dickson. Huyu ni kijana ambaye anatokea pande za Tabora unyamwezini kwa sasa yupo Dar ndani ya New Talents Tanzania (NTT).
Anaendelea kujinoa zaidi huku akitafuta Management nzuri ya kumsimamia ili aweze kutoboa katika muziki, Hivyo kama wewe ni mdau wa Muziki basi tumia fursa hii kuitazama hii video inayoonyesha uwezo wa kipaji chake Helton. Ushauri na Maoni vinaruhusiwa. Kwa lolote tupigie kwenye 0658161950.
Sunday, August 13, 2017
KARIBU TUME YA MAENDELEO YA USHIRIKA
KARIBU TUME YA MAENDELEO YA USHIRIKA
Popular Posts
-
Mamlaka ya Afya ya Mimea na Viuatilifu Tanzania (TPHPA) imeongeza jitihada katika kudhibiti uvamizi wa visumbufu hatarishi, ikiwemo kwelea...
-
Na Immaculate Makilika – MAELEZO, Makete Naibu Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Mh...
-
Kiongozi wa chama cha upinzani cha Forum for Democratic Change (FDC) nchini Uganda Kizza Besigye amekamatwa tena na maafisa wa polisi. ...
-
Katibu Mkuu wa Wizara ya kilimo Mhandisi Mathew Mtigumwe Na Mathias Canal, Wizara ya Kilimo-Dodoma Katibu Mkuu wa Wizara ya kilim...
-
📌 Asema Rais, Dkt. Samia anafanya kazi kubwa ya kuwaunganisha Watanzaia 📌 Atak...
Powered by Blogger.
0 comments:
Post a Comment