Na Ramadhani Shabani
Ndugu Mtanzania Ni Tumaini Langu Wewe Ni Buheri Wa Afya Kabisa Na Unaendelea Vyema Kabisa Na Utekelezaji Wa Shughuli Zako Za Kulijenga Taifa Letu Kwa Bidii Zote Na Kwenda Na Kasi Ya Kauli Mbiu Ya Hapa Kazi Tu!
Ndugu Mtanzania Leo Bunge La Jamhuri Ya Muungano Wa Tanzania Liliendelea Kwa Majadiliano Mbalimbali Ambapo Kama Ilivyo Hada Ya Taratibu Za Bunge Hilo Uanza Kwa Kipindi Cha Maswali Na Majibu Asubuhi Ambapo Waheshimiwa Wabunge Mbalimbali Upata Fursa Ya Kuuliza Maswali Ya Kisera Kwa Lengo La Maendeleo Ya Kitaifa.Na Moja Kati Ya Waheshimiwa Wabunge Waliopata Fursa Hiyo Ya Kuuliza Maswali Leo Ktk Kipindi Cha Bunge La Asubuhi Ni Pamoja Na Mhe Mbunge Wa Viti Maalum CCM Mkoa Wa Iringa Ndugu *Ritta Kabati*
*Mhe Ritta Kabati*Akiuliza Swali Lake Alitaka Kujua Ni Mapato Kiasi Gani Na Faida Ya Kiwango Gani Serikali Inapata Kutokana Na Shughuli Zima Za Uvunaji Wa Misitu Unaoendelea Ktk Taifa Letu.
Lakini Je?Ni Kwanini Serikali Inawauzia Magogo Wawekezaji Kwa Bei Nusu Zidi Ya Ile Ambayo Wananchi Wakawaida Wamekuwa Wakiuziwa.Sasa Serikali Haioni Kuna Haja Pia Ya Kuwauzia Wananchi Hawa Wa Kawaida Kwa Bei Sawa Na Hii Ya Serikali Inayowauzia Wawekezaji Sababu Hawa Wananchi Wa Kawaida Ndio Wamiliki Halali Wa Rasilimali Za Taifa Hili.
Lakini Pia Akichangia Hapo Hapo Kwenye Swala La Mashamba Ya Miti *Mhe Ritta Kabati*Mbunge Huyu Mzalendo Na Mchapa Kazi Na Wananchi Wa Mkoa Wa Iringa Wanamfahamu Vizuri Mhe Mbunge Aliiomba Serikali Kuangalia Namna Ambavyo Inaweza Kuboresha Miundombinu Ya Barabara Ziendazo Ndani Ya Mashamba Ya Misitu Hiyo Ilikusudi Kusaidia Kuakikisha Kwamba Barabara Hizo Zinakua Zinapitika Wakati Wote Na Ni Salama Kwa Shughuli Hizo Za Uvunaji Wa Misitu.
Maswali Yote Ya Mhe Ritta Kabati Yalipatiwa Majibu Na Serikali Kupitia Mhe Naibu Eng Waziri Mhe Ramo Makani.Ambaye Aliyajibu Maswali Haya Kwa Ustadi Wa Hali Ya Juu Sana Tu!
CCM Mpya Na Tanzania Mpya Vitajengwa Na Wale Wenye Miyo Safi Iliyojawa Na Uzalendo Sambamba Na Uthubutu Wa Kutenda Bila Kujali Gharama Watakayotakiwa Kulipia Kwa Matendo Yao Yote Ikiwa Kwa Ajili Ya Maslahi Ya Watanzania Na Taifa Letu Kwa Ujumla
0 comments:
Post a Comment