Rais wa Chama cha Wanasheria Zanzibar
(ZLS) Omar Said Shaaban akizungumza na wanachama wa chama hicho (hawapo
pichani) katika Mkutano Mkuu wa Mwaka wa siku moja uliofanyika Ukumbi wa
Sanaa Rahaleo Mjini Zanzibar.
Mkurugenzi wa Mashtaka Zanzibar Ibrahim
Mzee akiwasilisha mada ya mwenendo wa kesi za makosa ya jinai katika
Mkutano Mkuu wa Chama cha Wanasheria Zanzibar uliofanyika Ukumbi wa
Sanaa Rahaleo.
Baadhi ya wanachama wa Chama cha
wanasheria Zanzibar wakifuatilia Mkutano Mkuu wa mwaka wa siku moja
katika ukumbi wa Sanaa Rahaleo Mjini Zanzibar.
Mwanasheria wa siku nyingi na mwanachama
wa chama cha wanasheria Zanzibar Nassor Khamis akitoa mchango wake
kwenye mkutano mkuu wa mwaka uliofanyika Ukumbi wa Sanaa Rahaleo
Zanzibar.
Rais wa Chama cha Wanasheria Zanzibar
Omar Said Shaaban akizungumza na waandishi wa habari baada ya kumalizika
Mkutano Mkuu wa mwaka wa siku moja katika Ukumbi wa Sanaa Rahaleo.
Picha na Makame Mshenge.
0 comments:
Post a Comment