METDO Tanzania

METDO Tanzania

Wednesday, January 25, 2017

DC NGUPULA AKAGUA GHALA LA UTUNZAJI CHAKULA WLAYANI NZEGA

 Mkuu wa Wilaya ya Nzega Mkoani Tabora Mhe Geofrey Ngupula akikagua ghala la mahindi
"Leo nimefanya ziara ya ukaguzi wa chakula wilayani kwangu Nzega, tukitunza chakula chetu vizuri na tukikitumia vizuri mpaka mwezi wa 5, 2017 hatutakua na njaa. Upo upungufu kiasi wa mahindi, hata hivyo sokoni yapo kwa bei ya alfu 15 mpk 17 kwa debe. Tuombe Mungu atujaalie katika msimu huu tuvune" Geofrey Ngupula
Share:

0 comments:

Post a Comment

Copyright © WAZO HURU | Powered by Blogger Design by ronangelo | Blogger Theme by NewBloggerThemes.com