Sehemu ya
Majengo ya Kituo cha Taaluma ya Uhasibu (Accountancy Profession
Center-APC) cha Bodi ya Uhasibu na Wakaguzi wa Hesabu (NBAA)
kilichofunguliwa na Waziri wa Fedha na Mipango, Mhe. Dkt. Philip Mpango
(Mb) kwa niaba ya Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa, katika eneo la
Bunju, Nje kidogo ya Jiji la Dar es salaam
Waziri wa
Fedha na Mipango, Mhe. Dkt. Philip Mpango (Mb), akiwasili katika viunga
vya kituo cha Taaluma ya Uhasibu (APC) cha Bodi ya Uhasibu na Wakaguzi
wa Hesabu (NBAA) katika aneo la Bunju nje kidogo ya Jiji la Dar es
salaam na kulakiwa na Mwenyekiti wa Bodi ya NBAA Prof. Isaya Jairo
(Katikati) na Mwenyekiti wa Bodi ya Mfuko wa Pensheni wa watumishi wa
Serikali-GEPF, Bi. Joyce Shaidi
Waziri wa
Fedha na Mipango, Mhe. Dkt. Philip Mpango (Mb), akisalimiana na
Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) Prof. Musa Juma
Assad, kabla ya kuzindua Kituo cha Taaluma ya Uhasibu (APC) cha Bodi ya
Uhasibu na Wakaguzi wa Hesabu (NBAA) kwa niaba ya Waziri Mkuu Mhe.
Kassim Majaliwa, katika eneo la Bunju nje kidogo ya Jiji la Dar es
salaam.
Waziri wa
Fedha na Mipango, Mhe. Dkt. Philip Mpango (Mb) (wa tatu kutoka kulia)
akiambatana na wakandarasi waliojenga Kituo cha Taaluma ya Uhasibu (APC)
pamoja na wajumbe wa Bodi na Uongozi wa NBAA, kukagua baadhi ya
miundombinu ya kisasa iliyopo katika kituo hicho kilichopo katika eneo
la Bunju, Nje kidogo ya Jiji la Dar es salaam.
Waziri wa
Fedha na Mipango. Mhe. Dkt. Philip Mpango (Mb), akikata utepe kuashiria
kufunguliwa rasmi kwa Kituo cha Taaluma ya Uhasibu (APC) cha Bodi ya
Wahasibu na Wakaguzi wa Hesabu (NBAA) kwaniaba ya Waziri Mkuu Mhe.
Kassim Majaliwa, katika eneo la Bunju, nje kidogo ya Jiji la Dar es
salaam.(P.T)
Baadhi ya
wadau walioshuhudia Waziri wa Fedha na Mipango. Mhe. Dkt. Philip Mpango
(Mb), akifungua rasmi Kituo cha Taaluma ya Uhasibu (APC) cha Bodi ya
Wahasibu na Wakaguzi wa Hesabu (NBAA) kwaniaba ya Waziri Mkuu Mhe.
Kassim Majaliwa, katika eneo la Bunju, nje kidogo ya Jiji la Dar es
salaam. Kituo hicho kimegharimu shilingi Bilioni 33.
Meza Kuu
wakiongozwa na Waziri wa Fedha na Mipango, Mhe. Dkt. Philip Mpango (Mb),
(wa nne kutoka kulia) wakiimba Wimbo wa Taifa kabla ya kuanza hotuba
mbalimbali, baada ya kufunguliwa rasmi kwa Kituo cha Taaluma ya Uhasibu
(APC) cha Bodi ya Wahasibu na Wakaguzi wa Hesabu (NBAA) kilichojengwa
eneo la Bunju, nje kidogo ya Jiji la Dar es salaam.
Wasanii,
Mrisho Mpoto na Banana Zoro, wakitumbuiza wakati wa tukio la kufunguliwa
rasmi kwa Kituo cha Taaluma ya Uhasibu (APC) cha Bodi ya Wahasibu na
Wakaguzi wa Hesabu (NBAA) kilichojengwa eneo la Bunju, nje kidogo ya
Jiji la Dar es salaam.
Waziri wa
Fedha na Mipango, Mhe. Dkt Philip Mpango (Mb), akihutubia baada ya
kufunguliwa rasmi kwa Kituo cha Taaluma ya Wahasibu (APC) kilichojengwa
na Bodi ya taifa ya Wahasibu na Wakaguzi wa Hesabu katika eneo la Bunju,
nje kidogo ya Jiji la Dar es salaam, ambacho ujenzi wake umegharimu
shilingi Bilioni 33.
Waziri wa
Fedha na Mipango, Mhe. Dkt Philip Mpango (Mb), akihutubia baada ya
kufungua rasmi kwaniaba ya Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa, Kituo cha
Taaluma ya Wahasibu (APC) kilichojengwa na Bodi ya Taifa ya Wahasibu na
Wakaguzi wa Hesabu katika eneo la Bunju, nje kidogo ya Jiji la Dar es
salaam, kilichogharimu shilingi Bilioni 33.
Waziri wa
Fedha na Mipango, Mhe. Dkt Philip Mpango (Mb), akimkabidhi Tuzo,
Mwenyekiti wa Bodi ya Wahasibu na Wakaguzi wa Hesabu (NBAA), Prof. Isaya
Jairo, ikiwa ni ishara ya kutambua mchango wake katika kufanikisha
ujenzi wa Kituo cha Taaluma ya Wahasibu (APC) kilichojengwa na Bodi ya
Taifa ya Wahasibu na Wakaguzi wa Hesabu (NBAA), katika eneo la Bunju nje
kidogo ya Jiji la Dar es salaam na kugharimu shilingi Bilioni 33.
Waziri wa
Fedha na Mipango, Mhe. Dkt Philip Mpango (Mb), akiwa katika picha ya
pamoja na wajumbe wa Bodi (NBAA) baada ya kuhitimishwa kwa tukio la
kufunguliwa rasmi kwa Kituo cha Taaluma ya Wahasibu (APC) kilichojengwa
na Bodi ya Taifa ya Wahasibu na Wakaguzi wa Hesabu (NBAA), katika eneo
la Bunju nje kidogo ya Jiji la Dar es salaam na kugharimu shilingi
Bilioni 33.
Picha zote na Kitengo cha Mawasiliano Serikalini, Wizara ya Fedha na Mipango
0 comments:
Post a Comment