Mkuu wa
Mkoa wa Kilimanjaro Sadiki Meck Sadiki akimsalimia mwanafunzi Fadhili
Mwidini wa shule ya Msingi Chemka iliyopo wilaya ya Hai,Mkuu wa mkoa
alifika kukabidhi madawati pamoja na kuzindua vituo vya kunawa mikono
vilivyofadhiliwa na Chuo cha Ufundi Arusha (ATC).picha zote na mahmoud
ahmad wa globu ya jamii arusha
Mkuu wa
Chuo cha Ufundi Arusha (ATC) ,Dr.Richard Masika akitoa ufafanuzi juu ya
vituo vya kunawa mikono vilivyofadhiliwa na chuo hicho katika shule ya
Msingi Chemka iliyopo wilaya ya Hai,kushoto ni Mkuu wa Mkoa wa
Kilimanjaro Sadiki Meck Sadiki..
Mkuu wa Chuo cha Ufundi Arusha (ATC) ,Dr.Richard Masika (wapili kutoka kushoto) akitoa ufafanuzi juu ya vituo vya kunawa mikono vilivyofadhiliwa na chuo hicho katika shule ya Msingi Chemka iliyopo wilaya ya Hai,kushoto ni Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro Sadiki Meck Sadiki..Picha zote na mahmoud ahmad globu ya jamii.
0 comments:
Post a Comment