Kampuni
ya Bia ya TBL kupitia bia yake ya Safari lager imezindua bia ya kopo ya
kwanza yenye ujazo wa mililita 500 kwa bia ya Kitanzania.
Akizungumza katika uzinduzi uliofanyika jijini Dar, Meneja Bidhaa wa Safari Lager, Edith Bebwa Nasuwa alisema “Ni bia ya kwanza ya Kitanzania ya kopo yenye ujazo wa mililita 500 ambayo italeta urahisi, unafuu na ladha nzuri ya aina yake kwa wapenzi wote wa bia ya Safari Lager”

Bia
hii ya kopo tayari imeshaanza kupatikana maeneo yote nchini kuanzia
tarehe 26 Agosti 2016 na imeelezewa kuwa ni bia ya wajanja wenye
kujiamini.
“Bia
mpya ya kopo ya Safari ni dhahiri kwamba imetengezwa kumpa umahiri
Mtanzania katika safari ya maisha yake. Inapatikana kwa urahisi na kwa
wakati muafaka hata wakati mtu anakwenda kwenye mihangaiko yake au
kubeba akiwa anakwenda kwenye matembezi au safarini” alimalizia Edith
Bebwa.
Fuatilia kurasa za Safari Lager kupata habari zaidi
Facebook: https://web.facebook.com/SafariLagerTz
0 comments:
Post a Comment