METDO Tanzania

METDO Tanzania

Monday, February 29, 2016

Mashindano ya Tigo Kili Half Marathon yafana mjini Moshi

Tigo Kili Half Marathon
Maelfu ya wakazi wa Moshi na wanariadha mbalimbali waliohudhuria mashindano ya Tigo Kili Half Marathon yaliyofanyika jana kwenye viwanja vya Chuo cha Ushirika Mjini Moshi 

Wafanyakazi wa kampuni ya Tigo wakiwa katika picha ya pamoja  kabla  ya kuanza mashindano ya Tigo Kili Half Marathon katika mashindano hayo yaliyofanyika jana kwenye viwanja vya Chuo cha Ushirika Mjini Moshi.

Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Nape Nnauye  (katikati mwenye kofia) akisubiri kufungua mbio za Tigo Kili half Marathon 2016, mkoani Kilimanjaro, kulia kwake Meneja masoko Olivier prentout  atika mashindano hayo yaliyofanyika jana kwenye viwanja vya Chuo cha Ushirika Mjini Moshi.


Wanariadha wa Tigo Kili half Marathon wakisubiri kuanza mbio katika mashindano ya Tigo Kili Half Marathon  katika mashindano hayo yaliyofanyika jana kwenye viwanja vya Chuo cha Ushirika Mjini Moshi.

Wafanyakazi wa kampuni ya Tigo wakikimbia mbio za Tigo half Marathon   katika mashindano ya Tigo Kili Half Marathon katika mashindano hayo yaliyofanyika jana kwenye viwanja vya Chuo cha Ushirika Mjini Moshi.

Meneja chapa Tigo, William Mpinga akimalizia mbio za kilometa 21 katika mashindano ya Tigo Kili Half Marathon  katika mashindano hayo yaliyofanyika jana kwenye viwanja vya Chuo cha Ushirika Mjini Moshi.

Wafanyakazi wa Tigo wakiwa kwenye water point kwa kutoa huduma kwa wakimbiaji katika mashindano ya Tigo Kili Half Marathon katika mashindano hayo yaliyofanyika jana kwenye viwanja vya Chuo cha Ushirika Mjini Moshi.

Mzee mwenye Umri wa miaka 70 akiungana na wanariadha wenzake katika mashindano ya Tigo Kili Half Marathon  katika mashindano hayo yaliyofanyika jana kwenye viwanja vya Chuo cha Ushirika Mjini Moshi.
Share:

0 comments:

Post a Comment

Copyright © WAZO HURU | Powered by Blogger Design by ronangelo | Blogger Theme by NewBloggerThemes.com