Na Malisa GJ
Kuna taarifa zimezagaa mitandaoni kuwa Rais Jacob Zuma wa Afrika Kusini amesaini sheria itakayotoa fursa kwa watu walioambukizwa Virusi vya UKIMWI kuwekewa alama fulani itakayowatambulisha kirahisi. Sijui kama taarifa hii ni ya kweli au uzushi, lakini ikiwa ni kweli je ina mantiki yoyote? Na je itasaidia kupunguza maambukizi?
Kwa mujibu wa sheria hiyo ni kwamba ukipimwa ukakutwa na maambukizi unawekewa alama isiyofutika (tatoo) kwenye mapaja yako. Hii itamsaidia yule anayetaka kulala na wewe aone alama hiyo na kutambua kuwa haupo salama, hivyo kutafuta namna ya kujikinga.!

Maana yake ni kwamba mtu atakayepata maambukizi baada ya hapo atakuwa
amejitakia mwenyewe, coz atakuwa ameona alama mapajani lakini akakaidi.
Kauli mbiu inayosambaa kwa sasa ni "If you cant read between the lines,
now you can read between the legs". Yani kama huwezi kumtambua
muathirika kwa kumtizama usoni sasa unaweza kumtambua kwa kumtizama
mapajani.
Taarifa zisizo rasmi zinasema tayari watu milioni moja wanaoishi na VVU nchini Afrika Kusini wamejitolea kwa hiari yao kuwekewa alama hizo ili iwe rahisi kutambulika wanapokuwa faragha na wapenzi wao.
MASWALI; Je njia hii itasaidia kupunguza maambukizi ya VVU? Je wale wajiitao 'wanaharakati' wa haki za binadamu hawawezi kupinga njia hii maana inakiuka haki ya kutoa siri ya mgonjwa? Na je kuwawekea alama walioathirika haiwezi kuonekana ni unyanyapaa kwao?
"If u cnt read between the lines, now u can read between the legs!"

0 comments:
Post a Comment