METDO Tanzania

METDO Tanzania

Friday, June 4, 2021

RAIS MHE.SAMIA SULUHU AMEAGANA NA ALIYEKUWA BALOZI WA CHINA HAPA NCHINI MHE.WANG KE

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akimkaribisha Balozi wa China aliyemaliza muda wake hapa nchini Wang Ke mara baada ya kuwasili Ikulu ya Chamwino Mkoani Dodoma leo tarehe 4 Juni, 2021. 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akiwa katika mazungumzo na Balozi wa China aliyemaliza muda wake Wang Ke ambaye alifika Ikulu ya Chamwino kwa ajili ya kuaga mara baada ya kumaliza muda wake hapa nchini.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akiwa katika picha ya kumbukumbu na Balozi wa China aliyemaliza muda wake Wang Ke ambaye alifika Ikulu ya Chamwino kwa ajili ya kuaga mara baada ya kumaliza muda wake hapa nchini.
 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akizungumza jambo na Balozi wa China aliyemaliza muda wake hapa nchini Wang Ke wakati wakiagana mara baada ya mazungumzo yao Ikulu ya Chamwino mkoani Dodoma.

Balozi wa China aliyemaliza muda wake hapa nchini Wang Ke akizungumza na Wanahabari mara baada ya mazungumzo yake na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan, Ikulu ya Chamwino Mkoani Dodoma. PICHA NA IKULU

Share:

0 comments:

Post a Comment

Copyright © WAZO HURU | Powered by Blogger Design by ronangelo | Blogger Theme by NewBloggerThemes.com