METDO Tanzania

METDO Tanzania

Friday, January 8, 2021

WAZIRI WA MAMBO YA NJE WA CHINA MHE WANGI YI AONGEA NA WAVUVI CHATO, AFANYA MAZUNGUMZO RASMI NA TANZANIA

Waziri wa Mifugo na Uvuvi Mhe Mashimba Ndaki akimpatia maelezo Waziri wa  Mambo ya Nje wa China Mhe. Wang Yi kuhusu samaki wa aina mbalimbali na minofu yao wanaopatikana katika Ziwa Victoria wakati mgeni huyo alipotembelea Mwalo wa Chato mkoani Geita mapema asubuhi ya leo Ijumaa Januari 8, 2021.
Waziri wa Mambo ya Nje wa China Mhe. Wang Yi akiongea na  wavuvi na wadau wengine wa sekta ya uvuvi alipotembelea na mkujionea shughuli mbalimbali zinazofanyika katika Mwalo wa  samaki la Chato Mkoani Geita alikotembelea leo Ijumaa Januari 8, 2021 ikiwa ni siku ya pili ya ziara yake nchini.
Share:

0 comments:

Post a Comment

Copyright © WAZO HURU | Powered by Blogger Design by ronangelo | Blogger Theme by NewBloggerThemes.com