METDO Tanzania

METDO Tanzania

Friday, January 29, 2021

RAIS MHE. DKT. MAGUFULI AZUNGUMZA NA WANANCHI AKIWA NJIANI KUELEKEA MKOANI TABORA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na wananchi wa Kata ya Nata Tabora vijijini wakati akitokea mkoani Shinyanga leo tarehe 29 Januari 2021.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na wananchi wa Nzega (hawaonekani pichani) wakati akielekea Tabora mjini leo tarehe 29 Januari 2021.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na wananchi wa Isaka (hawaonekani pichani) wakati akielekea mkoani Tabora.

Sehemu ya Wananchi wa Kata ya Nata Tabora vijijini wakimsikiliza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli alipokuwa akizungumza nao wakati akielekea Tabora.

Share:

0 comments:

Post a Comment

Copyright © WAZO HURU | Powered by Blogger Design by ronangelo | Blogger Theme by NewBloggerThemes.com