METDO Tanzania

METDO Tanzania

Monday, July 8, 2019

BRAZIL WATWAA COPA AMERICA BAADA YA KUICHAPA 3-1 PERU

Wachezaji wa Brazil wakifurahia na taji lao la Copa America baada ya kukabidhiwa kufuatia ushindi wa 3-1 dhidi ya Peru kwenye fainali usiku wa kuamkia leo Uwanja wa Jornalista Mario Filho, au  Maracana mjini Rio de Janeiro.

Mabao ya Brazil yalifungwa na Everton dakika ya 15, Gabriel Jesus dakika ya 45 na ushei kabla ya kutolewa kwa kadi nyekundu dakika ya 70 kufuatia kuonyeshwa kadi ya pili ya njano na Richarlison kwa penalti dakika ya 90, wakati la Peru lilifungwa na Paolo Guerrero kwa penalti pia dakika ya 44, hilo likiwa taji lao la kwanza tangu mwaka 2007 PICHA ZAIDI SOMA HAPA

Share:

0 comments:

Post a Comment

Copyright © WAZO HURU | Powered by Blogger Design by ronangelo | Blogger Theme by NewBloggerThemes.com