
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa
akisalimiana na ndugu na jamaa wa marehemu Dkt. Badriya Abdallah Gurnah,
mke wa Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar, Abdallah Juma Mabodi katika
mazishi ya Daktari huyo yaliyofanyika kwenye makaburi ya Upanga jijini
Dar es salaam, Juni 23, 2019. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa
akitupa udongo kwenye kaburi la Dkt. Badriya Abubakar Gurnah, mke wa
Naibu Katibu Mkuu wa CCM, Zanzibar, Abdallah Juma Mabodi yaliyofanyika
kwenye Makaburi ya Upanga jijini Dar es salaam Juni 23, 2019. (Picha na
Ofisi ya Waziri Mkuu)

Waombolezaji wakiwa wamebeja
mwili wa Dkt. Badriya Abubakar Gurnah, mke wa Naibu Katibu Mkuu wa CCM
Zanzibar, Abdallah Juma Mabodi katika mazishi yaliyofanyika kwenye
Makaburi ya Upanga jijini Dar es salaam Juni 23, 2019. (Picha na Ofisi
ya Waziri Mkuu)
0 comments:
Post a Comment