
Ofisa Mtendaji Mkuu wa Benki ya TPB, Sabasaba Moshingi (wa pili
kushoto) na Ofisa Mtendaji Mkuu wa Mwalimu Commercial Bank (MCB),Ronald
Manongi, wakibadilishana hati za makubaliano jijini Dar es Salaam leo
ambapo wateja wa benki ya upande mmoja wataweza kupata huduma za kibenki
katika matawi ya benki ya upande mwingine.

Ofisa Mtendaji Mkuu wa Benki ya TPB, Sabasaba Moshingi ( kushoto
waliokaa) na Ofisa Mtendaji Mkuu wa Mwalimu Commercial Bank (MCB),Ronald
Manongi, wakisaini hati za makubaliano jijini Dar es Salaam leo ambapo
wateja wa benki ya upande mmoja wataweza kupata huduma za kibenki katika
matawi ya benki ya upande mwingine.

Ofisa Mtendaji Mkuu wa Benki ya TPB, Sabasaba Moshingi (kushoto)
akizungumza na waandishi wa habari katika hafla ya utiaji saini
makubaliano ya ushirikiano kati ya TPB na Mwalimu Commercial Bank (MCB),
ambapo wateja wa benki ya upande mmoja wataweza kupata huduma za
kibenki katika matawi ya benki ya upande mwingine. Kushoto kwake ni
Ofisa Mtendaji Mkuu wa Benki ya Mwalimu, Ronald Manongi .

Ofisa Mtendaji Mkuu wa Mwalimu Commercial Bank (MCB), Ronald Manongi
(kulia), akizungumza na waandishi wa habari katika hafla ya utiaji
saini makubaliano ya ushirikiano kati ya MCB na Benki ya TBP ambapo
wateja wa benki ya upande mmoja wataweza kupata huduma za kibenki katika
matawi ya benki ya upande mwingine. Kushoto ni Ofisa Mtendaji Mkuu wa
TPB, Sabasaba Moshingi.

Ofisa Mtendaji Mkuu wa Benki ya TPB, Sabasaba Moshingi (wa tano
kushoto) akishikana mikono na Ofisa Mtendaji Mkuu wa Mwalimu Commercial
Bank (MCB),Ronald Manongi mara baada ya kumalizika kwa tukio la utiaji
saini makubaliano hayo. Pamoja nao ni baadhi ya maofisa wa benki za TPB
na MCB.
0 comments:
Post a Comment