Makamau Mwenyekiti wa CCM-Bara Philipo Mangua
akimkaribisha Naibu Waziri za Mambo ya Nje wa Chama Cha Kikomunisti cha China
(CPC) Xu Luping, katika Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba, Dar es
Salaam, leo Agosti 31, 2017. Katikati ni Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi Humphrey
Polepole. (Picha na Bashir Nkoromo).
Makamau Mwenyekiti wa CCM-Bara Philipo Mangua
(kulia) akiongoza mazungumzo baina yake na Naibu Waziri za Mambo ya Nje
wa Chama Cha Kikomunisti cha China (CPC) Xu Luping (kulia) katika Ofisi Ndogo
ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba, Dar es Salaam, leo Agosti 31, 2017
Naibu Mkurugenzi Mkuu wa kampuni ya Ujenzi ya
IDCPC Kanda ya Afrika, Wang Heming akipiga picha mandhari ya eneo
kitakakojenjwa Chuo Kikuu cha Viongozi wa Siasa cha Mwalimu Nyerere, Kibaha
mkoa wa Pwani, alipotembelea eneo hilo, jana, Agosti 30, 2017. Kushoto ni
Katibu wa NEC Siasa na Uhusiano wa Kimataifa, Ngemela Lubinza
Thursday, August 31, 2017
KARIBU TUME YA MAENDELEO YA USHIRIKA
KARIBU TUME YA MAENDELEO YA USHIRIKA
Popular Posts
-
Na Immaculate Makilika – MAELEZO, Makete Naibu Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Mh...
-
Mkufunzi wa Mbio za Mwenge wa Uhuru, Juma Mswadiku (kulia) akifafanua jambo Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Kazi, Vijana, Ajira na Wat...
-
Mamlaka ya Afya ya Mimea na Viuatilifu Tanzania (TPHPA) imeongeza jitihada katika kudhibiti uvamizi wa visumbufu hatarishi, ikiwemo kwelea...
-
Kibanda cha mlinzi katika Chuo cha VETA Uyui mkoani Tabora ambacho kimejengwa kwa gharama ya sh.milioni 11. Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ...
-
📌 Asema Rais, Dkt. Samia anafanya kazi kubwa ya kuwaunganisha Watanzaia 📌 Atak...
Powered by Blogger.
0 comments:
Post a Comment