HERI YA CHRISTIMAS NA MWAKA MPYA KWA WANACHAMA WA ASASI YA WAZALENDO NA MAENDELEO TANZANIA NA WANANCHI WOTE
Mkurugenzi, Bodi ya Wakurugenzi pamoja na wanachama wote wa Asasi ya Wazalendo na Maendeleo Tanzania ( AWAMATA) wanawatakia Wanachama wote na Watanzania wote HERI YA KRISMASI na MWAKA MPYA 2017 ULIOJAA FURAHA ,AFYA NJEMA NA AMANI.
Tuendelee kuipenda nchi yetu na kuwa Wazalendo tukiwa mstari wa mbele kufanya kazi za Kizalendo. Pia tunaomba kwa Mwenyezi Mungu kuendelea kubariki nchi na iendelee kuwa na Amani na Utulivu.
Imeandikwa na Muhammad Shaban(Aluta.D),Mkurugenzi/Katibu Msaidizi-Mawasiliano ya Mwenyekiti Taifa, Makao Makuu Kwa niaba ya, Chief Mrindoko Babu Mwidadi Mwenyekiti Taifa-Asasi ya Wazalendo na Maendeleo Tanzania (AWAMATA)
P.O.Box 1652 Moshi
+255 (0)718 733 332
+255 (0)744 733 332
wazalendotanzania@yahoo.com
0 comments:
Post a Comment