Rais wa Shirikisho la Muziki
Tanzania, Ado Novemba akisoma Risala mbele ya Mgeni Rasmi ambaye ni
Waziri Mkuu wa Tanzania, Mhe .Kassim Majaliwa( hayupo pichani), katika
Tamasha la Mwalimu Arts Festival 2019, lililofanyika katika Kituo cha
Mikutano cha Kimataifa Juilius Nyerere Jijini Dar es Salaam leo Novemba
15, 2019.
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano
wa Tanzania, Mhe. Kassim Majaliwa akisikiliza simu ya Rais wa Jamhuri
ya Muungano, Mhe. Dkt.John Pombe Magufuli alipopiga kuwapongeza wasanii
kwa kuanzisha tamasha la Mwalimu Arts Festival 2019, aliyeshikilia simu
hiyo ni Rais wa Shirikisho la Muziki Nchini Ado Novemba.
Waziri wa Habari,Utamaduni, Sanaa
na Michezo, Dkt.Harrison Mwakyembe akizungumza na kumkaribisha Mgeni
Rasmi katika Tamasha la Mwalimu Arts Festival 2019 ambaye ni Waziri Mkuu
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Kassim Majaliwa, lililofanyika
katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa Juilius Nyerere Jijini Dar es
Salaam leo Novemba 15, 2019.
Spika wa Bunge la Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Mhe. Job Ndugai akizungumza na Washiriki wa Tamasha
la Mwalimu Arts Festival 2019, lililofanyika katika Kituo cha Mikutano
cha Kimataifa Juilius Nyerere Jijini Dar es Salaam leo Novemba 15, 2019.
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano
wa Tanzania, Mhe. Kassim Majaliwa akiwahutubia washiriki wa Tamasha la
Mwalimu Arts Festival 2019, lililofanyika katika Kituo cha Mikutano cha
Kimataifa Juilius Nyerere Jijini Dar es Salaam leo Novemba 15, 2019.
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano
wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa akizungumza kwa simu na Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli
alipokuwa akihotubia katika Kongamano la Sanaa la Mwalimu (Mwalimu Arts
Festival) lililofanyika katika kituo cha Mikutano wa Kimatifa cha Julius
Nyerere (JNICC) jijini Dar es Salaam , ambapo Mhe. Rais ameahidi kutoa
Tsh Milioni mia moja (100) kwaajili ya Mfuko wa Sanaa. Novemba 15, 2019
Wasanii na wadau mbalimbali wa
Sanaa wakishangilia baada ya Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa kuongea kwa simu na Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli alipokuwa
akihotubia katika Kongamano la Sanaa la Mwalimu (Mwalimu Arts Festival)
lililofanyika katika kituo cha Mikutano wa Kimatifa cha Julius Nyerere
(JNICC) jijini Dar es Salaam , ambapo Mhe. Rais ameahidi kutoa Tsh
Milioni mia moja (100) kwaajili ya Mfuko wa Sanaa. Novemba 15, 2019
Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam
Paul Makonda akizungumza katika Kongamano la Sanaa la Mwalimu (Mwalimu
Arts Festival) lililofanyika katika kituo cha Mikutano wa Kimatifa cha
Julius Nyerere (JNICC) jijini Dar es Salaam , ambapo Waziri Mkuu wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa alimuwakilisha
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe
Magufuli ambaye pia ameahidi kutoa Tsh Milioni mia moja (100) kwaajili
ya Mfuko wa Sanaa. Novemba 15, 2019.
Msanii wa Mashairi ya Kughani,
Mrisho Mpoto akitoa burudani katika Tamasha la Mwalimu Arts Festival
2019 lililofanyika katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa Juilius
Nyerere Jijini Dar es Salaam leo Novemba 15, 2019
Msanii wa Mashairi ya Kughani,
Mrisho Mpoto akiingia kutoa burudani katika Tamasha la Mwalimu Arts
Festival 2019 lililofanyika katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa
Juilius Nyerere Jijini Dar es Salaam leo Novemba 15, 2019.
No comments:
Post a Comment