Mke wa Rais Mama Janeth Magufuli
akiwa na wajumbe wa umoja wa wake wa viongozi mbalimbali uitwao New
Millenium Women’s Group akiwasili katika kituo cha kulea wazee cha Nunge
Kigamboni jijini Dar es salaam leo. Wengine toka kushoto ni Mama Tunu
Pinda, Mama Mary Majaliwa, Mama Janeth Magufuli, Waziri wa Elimu,
sayansi na Teknolojia Profesa Joyce Ndalichako na Mama Asina Kawawa.
Wajumbe wa umoja wa wake wa viongozi mbalimbali uitwao New
Millenium Women’s Group wakiwa katika kituo cha kulea wazee cha
Nunge Kigamboni jijini Dar es salaam leo walikofika kutoa misaada
mbalimbali katika kuadhimisha umoja huo
Mke wa Rais Mama Janeth Magufuli akitoa misaada ya nguo na
vyakula kwa kituo cha kulea wazee cha Nunge Kigamboni jijini Dar essalaam leo.
Mke wa Waziri Mkuu Mama Mary
Majaliwa akitoa misaada ya nguo na vyakula kwa kituo cha kulea wazee cha
Nunge Kigamboni jijini Dar essalaam leo.
Mke wa Rais Mama Janeth Magufuli
akitoa misaada wa gypsum 178 kaajili ya ujenzi wa bwalo la kituo cha
kulea wazee cha Nunge Kigamboni jijini Dar es salaam leo.
Mke wa Rais Mama Janeth Magufuli
katika picha ya pamoja na wajumbe wenzie wa umoja wa wake wa viongozi
mbalimbali uitwao New Millenium Women’s Group na baadhi ya wajumbe wa
kamati ya Ulinzi na Usalama ya Wilaya ya Kigamboni katika kituo cha
kulea wazee cha Nunge Kigamboni jijini Dar es salaam leo.
Mke wa Rais Mama Janeth Magufuli katika picha ya pamoja na
wajumbe wenzie wa umoja wa wake wa viongozi mbalimbali uitwao
New Millenium Women’s baada ya kukabidhi misaada katika katika kituo cha
kulea wazee cha Nunge Kigamboni jijini Dar es salaam leo.
Mke wa Rais Mama Janeth Magufuli katika picha ya pamoja na
wajumbe wenzie wa umoja wa wake wa viongozi mbalimbali uitwao
New Millenium Women’s na wakaaazi wa kituo cha kulea wazee cha Nunge
Kigamboni jijini Dar es salaam leo.
Mke wa Rais Mama Janeth Magufuli
akiagana na wajumbe wenzie wa umoja wa wake wa viongozi mbalimbali
uitwao New Millenium Women’s baada ya kukabidhi misaada katika katika
kituo cha kulea wazee cha Nunge Kigamboni jijini Dar es salaam leo.
PICHA NA IKULU
………………….
Mke wa Rais Mama
Janeth Magufuli ameungana na wake wa viongozi mbalimbali katika
kusherehekea miaka 10 ya umoja wao uitwao New Millenium Women’s Group
kwa kutoa misaada katika kituo cha kulea wazee cha Nunge Kigamboni
jijini Dar es salaam leo.
Mama magufuli, ambaye aliambatana na Mlezi wa umoja huo Mke wa Waziri
Mkuu Mama Mary Majaliwa, Mwenyekiti wake Mke wa Waziri Mkuu Mstaa
Mkuu Mama Mary Majaliwa, Mwenyekiti wake Mke wa Waziri Mkuu Mstaa
No comments:
Post a Comment