Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiandika kero mbalimbali
walizokuwa wakizitoa wananchi waliosimama pembezoni mwa Stendi ya Mabasi
ya Msamvu mkoani Morogoro .
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na wanachi wa
Msamvu mkoani Morogoro mara baada ya kusimama.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akimpigia simu Mkurugenzi
Mkuu wa NIDA mara baada ya kupokea kero ya ucheleweshwaji wa
vitambulisho vya Taifa katika eneo la Msamvu mkoani Morogoro.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na mmoja wa wafanya
usafi wa Stendi ya Mabasi Msavu aliposimama na kuzungumza na wananchi
waliosimama pembezoni mwa Stendi ya Mabasi ya Msamvu mkoani Morogoro
Sehemu ya Wananchi wa Msamvu
mkoani Morogoro waliokuwa wakimsikiliza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli mara aliposimama katika
eneo hilo.
PICHA NA IKULU
No comments:
Post a Comment