Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika mazungumzo na
Mjumbe Maalum wa Waziri Mkuu wa Ethiopia Dkt. Abiy Ahmed Waziri
wa Nchi wa Ethiopia Hirut Zemene mara baada ya kuwasili Ikulu jijini
Dar es Salaam.

Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akipokea barua yenye ujumbe
Maalum kutoka kwa Rais wa Afrika Kusini Cyril Ramaphosa
iliyowasilishwa kwake na Mjumbe Maalum wa Rais huyo Waziri wa
Zamani wa Nishati wa Afrika Kusini Jeffrey Radebe mara baada ya
kuwasili Ikulu jijini Dar es Salaam.

Maalum kutoka kwa Waziri Mkuu wa Ethiopia Dkt. Abiy Ahmed
iliyowasilishwa kwake na Waziri wa Nchi wa Ethiopia Hirut Zemene
mara baada ya kuwasili Ikulu jijini Dar es Salaam.
Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akipokea barua yenye ujumbe
Maalum kutoka kwa Waziri Mkuu wa Ethiopia Dkt. Abiy Ahmed
iliyowasilishwa kwake na Waziri wa Nchi wa Ethiopia Hirut Zemene
mara baada ya kuwasili Ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika mazungumzo na
Mjumbe Maalum wa Rais wa Afrika Kusini Cyril Ramaphosa Waziri wa
Zamani wa Nishati wa Afrika Kusini Jeffrey Radebe mara baada ya
kuwasili Ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Mjumbe
Maalum wa Rais wa Afrika Kusini Cyril Ramaphosa Waziri wa zamani
wa Nishati wa Afrika Kusini Jeffrey Radebe mara baada ya kuwasili Ikulu
jijini Dar es Salaam.PICHA NA IKULU
No comments:
Post a Comment