Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa
akitazama korosho na karanga zilizofungashwa na wajasiriamali, Fatina
Masungwa (kulia), Shani Mpokwa (wa pili kulia) na Winfrida Nzelawi nje
ya ukumbi wa Tawi la Benki Kuu – Mtwara baada ya kufungua Kongamano la
Biashara na Wakandarisi kwa Kanda ya Kusini, Novemba 18, 2019 . Wa pili
kushoto ni Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB iliyoandaa kongamano
hilo, Abdulmajid Nsekela. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
No comments:
Post a Comment