Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa kizungumza baada ya kuzindua Jengo la
Ofisi za Ustawi wa Jamii kwenye Manispaa ya mji wa Iringa, Septemba
29, 2019. Wa nne kulia ni Mke wa Waziri Mkuu, Mama Mary Majaliwa, wa
sita kulia ni Waziri wa Katiba na Sheria. Dk. Augustine Mahiga. Wa tano
kushoto ni Naibu Waziri , Ofisi ya Rais TAMISEMI, Josephat Kandege na
wa sita kulia ni Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM na Mkurugenzi
Mkuu wa Makampuni ya ASAS, Salim Abri ambaye amefadhili ujenzi wa jengo
hilo lililogharimu zaidi ya Shilingi Milioni 50. (Picha na Ofisi ya
Waziri Mkuu)
No comments:
Post a Comment