Friday, August 23, 2019

TAASISI YA TULIA TRUST KWA KUSHIRIKIANA NA WHEEL CHAIR FOUNDITION WATOA MSAADA KWA WALEMAVU MBEYA




Mkurugenzi wa taasisi ya Tulia Trust Dr. Tulia Ackson akishirikiana na Shirika la Wheel Chair Foundition ametembelea Familia tano za watoto wenye ulemavu katika maeneo mbalimbali mkoani Mbeya na kuwapatia msaada wa baiskeli za kutembelea kwa lengo la kuwasaidia watoto hao wapate elimu kutokana na wengi wao kushindwa kwenda Shuleni kufuatia kuwa na changamoto ya kushindwa kutembea wenyewe hadi kufika shuleni.

No comments:

Post a Comment