Ziara ya Naibu Waziri Subira Mgalu Ukaguzi Miradi ya REA Mkoani Kigoma
Naibu
Waziri wa Nishati, Mhe. Subira Mgalu akionyesha kifaa maalum cha
kuunganishia umeme kwenye nyumba ambazo hazijawekewa mfumo wa kusambazia
umeme kijulikanacho kama Umeme Tayari (UMETA) wakati wa mkutano wa
hadhara katika kijiji cha Nyange wilayani Kibondo mkoa wa Kigoma hivi
karibuni. Naibu Waziri Mgalu alikuwa katika ziara yake ya kukagua miradi
ya usambazaji wa umeme vijini inayotekelezwa na Serikali kupitia Wakala
wa Umeme Vijijini (REA) ambapo jumla ya vijiji 129 vinasambaziwa umeme
mkoani humo. Naibu
Waziri wa Nishati, Mhe. Subira Mgalu akiwasha umeme kwenye moja ya
saluni ya mteja aliyeunganishiwa umeme katika kijiji cha Nyange wilayani
Kibondo wakati wa ziara yake ya kukagua maendeleo ya utekelezaji wa
mradi wa kusambaza umeme vijiji vya wilaya za Kibondo, Kasulu na Buhigwe
mkoani Kigoma hivi karibuni. Naibu Waziri Mgalu alikuwa katika ziara ya
siku tatu kukagua miradi ya usambazaji wa umeme vijini inayotekelezwa
na Serikali kupitia Wakala wa Umeme Vijijini (REA) ambapo jumla ya
vijiji 129 vinasambaziwa umeme mkoani humo. Katikati ni Mkuu wa Wilaya
ya Kibondo, Loyce Burra.
Naibu
Waziri wa Nishati, Mhe. Subira Mgalu (wapili kulia) akisikiliza maelezo
toka kwa Mkuu wa Wilaya ya Kibondo, Loyce Burra (kuulia) mara baada ya
kuwasha umeme katika Zahanati ya Kijiji cha Nyange na Saluni ya mkazi wa
kijiji hicho wakati ziara yake ya kukagua miradi ya usambazaji wa umeme
vijini mkoani Kigoma inayotekelezwa na Serikali kupitia Wakala wa Umeme
Vijijini (REA) ambapo jumla ya vijiji 129 vinasambaziwa umeme mkoani
humo. Kushoto ni Diwani wa Viti Maalum Kata ya Mabamba,Mektrida Ngugwa. Naibu
Waziri wa Nishati, Mhe. Subira Mgalu akisikiliza maelezo ya Mkandarasi
wa Usambazaji Umeme katika vijiji vya Wilaya za Kasulu, Buhigwe na
Uvinza Kampuni ya CCCE – ETERN wakati wa ziara yake ya kukagua maendeleo
ya utekelezaji wa mradi wa kusambaza umeme katika vijiji vilivyopo
katika Mpango wa Usambazaji Umeme Vijijini Awamu ya Tatu mzunguko wa
kwanza (REA III) mkoani Kigoma hivi karibuni. Kaimu
Mkuu wa Kikosi cha Jeshi la Kujenga Taifa, Mtabira 825 KJ kilichopo
wilaya ya Kasulu mkoani Kigoma, Meja Peter Lyanga akizungumza
walipotembelewa na Naibu Waziri wa Nishati Mhe. Subira Mgalu kwa lengo
la kujionea maendeleo ya usambazaji umeme katika Kikosi hicho hivi
karibuni. Naibu Waziri Mgalu alikuwa katika ziara ya siku tatu kukagua
miradi ya usambazaji wa umeme vijini inayotekelezwa na Serikali kupitia
Wakala wa Umeme Vijijini (REA) ambapo jumla ya vijiji 129 vinasambaziwa
umeme mkoani humo. Kibondo vijiji 40, Kakonko vijiji 29, Buhigwe 21,
Kasulu 12 Uvinza 10 na Kigoma vijijini 17. Naibu
Waziri wa Nishati, Mhe. Subira Mgalu akizungumza na vijana wa program
ya hiari wa Jeshi la Kujenga Taifa alipotembelea Kambi ya Kikosi cha
Jeshi la Kujenga Taifa, Mtabira 825 KJ kilichopo Kasulu mkoani Kigoma
kwa lengo la kujionea maendeleo ya usambazaji umeme katika Kikosi hicho
hivi karibuni. Naibu Waziri Mgalu alikuwa katika ziara ya siku tatu
kukagua miradi ya usambazaji wa umeme vijini inayotekelezwa na Serikali
kupitia Wakala wa Umeme Vijijini (REA) ambapo jumla ya vijiji 129
vinasambaziwa umeme mkoani humo. Naibu
Waziri wa Nishati, Mhe. Subira Mgalu akizungumza na wananchi wa Kijiji
cha Shunga na Lugoma wilayani Kasulu wakati wa ziara yake ya kukagua
maendeleo ya usambazaji umeme vijijini mkoani Kigoma hivi karibuni.
Naibu Waziri Mgalu alikuwa katika ziara ya siku tatu kukagua miradi ya
usambazaji wa umeme vijini inayotekelezwa na Serikali kupitia Wakala wa
Umeme Vijijini (REA) ambapo jumla ya vijiji 129 vinasambaziwa umeme
mkoani humo. Naibu
Waziri wa Nishati, Mhe. Subira Mgalu akifurahia jambo mara baada ya
kuzindua zoezi la kuwasha umeme katika baadhi ya nyumba za wananchi wa
mtaa wa Ruhita wilayani Kasulu wakati wa ziara yake ya kukagua maendeleo
ya mradi wa usambazaji umeme vijijini mkoani Kigoma hivi karibuni.
Naibu Waziri Mgalu alikuwa katika ziara ya siku tatu kukagua miradi ya
usambazaji wa umeme vijini inayotekelezwa na Serikali kupitia Wakala wa
Umeme Vijijini (REA) ambapo jumla ya vijiji 129 vinasambaziwa umeme
mkoani humo. Wapili kutoka kulia ni Meneja Mradi wa Usambazaji Umeme
Vijini Mkoa wa Kigoma toka REA. Mhandisi, Oscar Benedict Migani. Naibu
Waziri wa Nishati, Mhe. Subira Mgalu akiwasha umeme akiwasha umeme
katika jengo la Ofisi ya Halmashauri ya Wilaya ya Buhigwe mkoani Kigoma
wakati wa ziara yake ya kukagua maendeleo ya mardi wa usambazaji umeme
vijijini mkoani humo hivi karibuni. Naibu Waziri Mgalu alikuwa katika
ziara ya siku tatu kukagua miradi ya usambazaji wa umeme vijini
inayotekelezwa na Serikali kupitia Wakala wa Umeme Vijijini (REA) ambapo
jumla ya vijiji 129 vinasambaziwa umeme mkoani humo. Naibu
Waziri wa Nishati, Mhe. Subira Mgalu akiwasha umeme akiwasha umeme
katika jengo la Ofisi ya Halmashauri ya Wilaya ya Buhigwe mkoani Kigoma
wakati wa ziara yake ya kukagua maendeleo ya mardi wa usambazaji umeme
vijijini mkoani humo hivi karibuni. Naibu Waziri Mgalu alikuwa katika
ziara ya siku tatu kukagua miradi ya usambazaji wa umeme vijini
inayotekelezwa na Serikali kupitia Wakala wa Umeme Vijijini (REA) ambapo
jumla ya vijiji 129 vinasambaziwa umeme mkoani humo. Mbunge
wa Jimbo la Manyovu -Buhigwe mkoani Kigoma, Mhe. Albert Obama
akimshukuru Naibu Waziri wa Nishati, Mhe. Subira Mgalu (katikati) kwa
niaba ya Serikali kutokana na hatua za kusambaza umeme katika vijiji vya
wilaya ya Buhigwe wakati wa ziara ya kukagua miradi ya usambazaji wa
umeme vijini inayotekelezwa na Serikali kupitia Wakala wa Umeme Vijijini
(REA) ambapo jumla ya vijiji 129 vinasambaziwa umeme mkoani humo.
Kushoto ni Mkuu wa Wilaya ya Buhigwe, Kanali Michael Ngayauma. Naibu
Waziri wa Nishati, Mhe. Subira Mgalu akimkabidhi kifaa maalum cha
kuunganishia umeme kwenye nyumba ambazo hazijawekewa mfumo wa kusambazia
umeme kijulikanacho kama Umeme Tayari (UMETA), mkazi wa Kijiji cha
Nyankoroko wilayani Buhigwe, Bibi. Melenia Kutegwa wakati wa mkutano wa
hadhara katika kijiji hicho hivi karibuni. Naibu Waziri Mgalu alikuwa
katika ziara ya siku tatu kukagua miradi ya usambazaji wa umeme vijini
inayotekelezwa na Serikali kupitia Wakala wa Umeme Vijijini (REA) ambapo
jumla ya vijiji 129 vinasambaziwa umeme mkoani humo. Kifaa hicho
kinatolewa bure kwa watu wenye ulemavu na wazee wasiojiweza, wajane ili
waweze kumudu gharama za kuunganisha umeme katika makazi yao. Sehemu
ya mtandao wa usambazaji nyaya za umeme kama zinavyoonekana katika Mtaa
wa Ruhita uliopo katika Halmashauri ya Mji wa kasulu mkoani Kigoma. Moja
ya nyumba ya mkazi wa Mtaa wa Ruhita, Kasulu mkoani Kigoma ikiwa
imeunganishiwa umeme kupitia Mradi wa Usambazaji Umeme Vijini Awamu ya
Tatu (REA III) mzunguko wa kwanza ambapo jumla ya vijiji 129
vinaunganishiwa umeme kupitia mpango huo. (Na: Mpiga Picha Wetu
No comments:
Post a Comment