Friday, July 12, 2019

RAIS MWINGINE KUMTEMBELEA JPM KIJIJINI KWAKE

Rais wa Uganda, Yoweri Museveni, kesho, Julai 13 anatarajia kufanya ziara binafsi nchini Tanzania.

Ziara wilayani Chato ambapo , Rais Museveni atamtembelea Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Magufuli, Kijijini kwake Mlimani, wilayani Chato, mkoani Geita.
Akiwa kijijini hapo, Rais Museveni atafanya mazungumzo na mwenyeji wake Rais Magufuli. Ikumbukwe hivi karibuni Rais wa Kenya, Uhuru Kenyatta alimtembelea Rais Magufuli nyumbani kwake, ambapo alifanya mazungumzo naye binafsi

No comments:

Post a Comment