MAJALIWA AZUNGUMZA NA NAIBU WAZIRI MKUU WA VIETNAM, TRINH DINH DUNG
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza
na Naibu Waziri Mkuu wa Vietnam, Trinh Dinh Dung, katika mazungumzo ya
faragha yaliyofanyika ofisini kwa Waziri Mkuu, Magogoni jijini Dar es
salaam, Julai 12, 2019
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza
na Naibu Waziri Mkuu wa Vietnam, Trinh Dinh Dung (wa pili kulia) katika
mazungumzo rasmi yaliyofanyika kwenye ukumbi wa Ofisi ya Waziri Mkuu,
Magogoni jijini Dar es salaam, Julai 12, 2019.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza
na Naibu Waziri Mkuu wa Vietnam, Trinh Dinh Dung (kulia) katika
mazungumzo rasmi yaliyofanyika kwenye ukumbi wa Ofisi ya Waziri Mkuu,
Magogoni jijini Dar es salaam, Julai 12, 2019.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akimkabidhi
zawadi ya picha ya Mlima Kilimanjaro, Naibu Waziri Mkuu wa Vietnam,
Trinh Dinh Dung, baada ya mazungumzo yao, ofisini kwa Waziri Mkuu,
Magogoni jijini Dar es salaam, Julai 12, 2019.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa na Naibu
Waziri Mkuu wa Vietnam, Trinh Dinh Dung wakitoka ofisini kwa Waziri
Mkuu, Magogoni jijini Dar es salaam baada ya mazungumzo yao, Julai 12,
2019.
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa na Naibu
Waziri Mkuu wa Vietnam,Trinh Dinh Dung wakigonganisha glass katika
chakula cha mchana alichoandaa Waziri Mkuu wa Tanzania kwa heshima ya
mgeni huyo kwenye hoteli ya Hyatt Regency- Kilimanjaro jijini Dar es
salaam, Julai 12, 2019. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
No comments:
Post a Comment