RAIS MHE. DKT. MAGUFULI AZUNGUMZA NA WANANCHI WA KYAKA, RWAMISHENYE, KEMONDO NA MULEBA WAKATI AKITOKEA KARAGWE MKOANI KAGERA
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na wananchi wa
Rwamishenye wakati akitokea Karagwe mkoani Kagera.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiandika kero mbalimbali zilizokuwa
zikitolewa na wananchi wa Muleba mkoani Kagera wakati akielekea Chato
mkoani Geita.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwasikiliza wananchi wa Muleba
Mjini mkoani Kagera wakati walipokuwa wakielezea changamoto mbalimbali
zinazowakabili.
Mtume Venon Fernandes wa Kanisa la Agape
akiwa pamoja na wananchi wa Rwamishenye wakifurahia wakati
wakimsikiliza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt.
John Pombe Magufuli wakati aliposimama katika eneo hilo na kuwasalimu.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Mtume Venon
Fernandes wa Kanisa la Agape katika eneo hilo la Rwamishenye wakati
akielekea Chato mkoani Geita.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiombewa na Mtume Venon Fernandes
wa Kanisa la Agape pamoja na wananchi wa Rwamishenye Bukoba mkoani
Kagera mara baada ya kuzungumza nao wakati akitokea Karagwe.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na wananchi wa Kemondo
nje kidogo ya Manispaa ya Bukoba mkoani Kagera.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiondoka katika eneo la Muleba
mjini mara baada ya kuzungumza na wananchi wa eneo hilo.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akisali mbele ya Kaburi la Marehemu
Mhandisi Leopard Mjungi ambaye alikuwa Mkurugenzi wa barabara Kuu kutoka
Wizara ya Ujenzi.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza nyumbani kwa marehemu
Mhandisi Leopard Mjungi ambaye alikuwa Mkurugenzi wa barabara Kuu kutoka
Wizara ya Ujenzi mara baada ya kuwasili kijijini hapo Muleba mkoani
Kagera. Marehemu Mhandisi Mjungi alifariki mwaka 2007.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwapungia mkono wananchi wa Muleba
wakati akitoka nyumbani kwa marehemu Mhandisi Leopard Mjungi ambaye
alikuwa Mkurugenzi wa barabara Kuu wa Wizara ya Ujenzi. PICHA NA IKULU
No comments:
Post a Comment