Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akisalimiana na Kamanda wa Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Lazaro Mambosasa,
wakati alipowasili katika uwanja wa ndege wa Julius Nyerere, tokea
nchini Misri, alipokua kwenye ziara ya kikazi ya siku tatu, Julai
11.2019. Kulia ni Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Jeshi la Zimamoto na
Uokoaji, Puyo Ngalayainisi. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
No comments:
Post a Comment