RAIS DKT MAGUFULI AWAAPISHA SIMBACHAWENE NA BASHE IKULU JIJINI DAR ES SALAAM LEO
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe
Magufuli akimuapisha Mhe. Hussein Bashe kuwa Naibu Waziri wa Kilimo Ikulu jijini Dar es salaam leo Jumatatu Julai 22, 2019
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Dkt John Pombe Magufuli akishuhudia Kamishna wa Maadili Jaji (Mst)
Harold Nsekela akiwalisha viapo vya maadili ya viongozi Waziri wa Nchi
Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. George Simbachawene
na Mhe. Hussein Bashe, Naibu Waziri wa Kilimo, baada ya kuapishwa Ikulu
jijini Dar es salaam leo Jumatatu Julai 22, 2019
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe
Magufuli akimuapisha Mhe. George Simbachawena kuwa Waziri wa Nchi Ofisi
ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Ikulu jijini Dar essalaam leo
Jumatatu Julai 22, 2019
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Dkt John Pombe Magufuli akimpongeza Mhe. George Simbachawena baada ya
kumuapisha kuwa Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na
Mazingira) Ikulu jijini Dar es salaam leo Jumatatu Julai 22, 2019
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe
Magufuli akiongea jambo na Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais
(Muungano na Mazingira) Mhe. George Simbachawene na Mhe. Hussein Bashe
Naibu Waziri wa Kilimo baada ya kuwaapisha Ikulu jijini Dar es salaam
leo Jumatatu Julai 22, 2019
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Dkt John Pombe Magufuli, Makamu wa Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan, Jaji
Mkuu Profesa Ibrahim Juma, Katibu Mkuu Kiongozi Balozi John Kijazi na
viongozi waandamizi kutoka ofisi ya Makamu wa Rais katika picha ya
pamoja na Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira)
Mhe. George Simbachawene na Mhe. Hussein Bashe Naibu Waziri wa Kilimo
baada ya kuwaapisha Ikulu jijini Dar es salaam leo Jumatatu Julai 22,
2019
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Dkt John Pombe Magufuli akimpongeza Mhe. Hussein Bashe baada ya
kumuapisha kuwa Naibu Waziri wa Kilimo Ikulu jijini Dar es salaam leo
Jumatatu Julai 22, 2019
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Dkt John Pombe Magufuli, Makamu wa Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan, Jaji
Mkuu Profesa Ibrahim Juma, Katibu Mkuu Kiongozi Balozi John Kijazi na
viongozi wakuu wa vyombo vy ulinzi na Usalama katika picha ya pamoja na
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe.
George Simbachawene na Mhe. Hussein Bashe Naibu Waziri wa Kilimo baada
ya kuwaapisha Ikulu jijini Dar es salaam leo Jumatatu Julai 22, 2019
Naibu Waziri wa Kilimo Mhe. Hussein Bashe akijiandaa
kundoka mara baada ya kuapishwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli Ikulu jijini Dar es salaam leo
Jumatatu Julai 22, 2019
PICHA NA IKULU
No comments:
Post a Comment