RAIS DKT MAGUFULI AREJEA DAR ES SALAAM
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na wahudumu wa ndege iliyomchukua
baada ya kuteremka katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere
jijini Dar es salaam asubuhi leo Ijumaa Julai 19, 2019 akitokea jijini
Dodoma.
PICHA NA IKULU
No comments:
Post a Comment