MAJALIWA AZUNGUMZA NA WANA CCM WA WILAYA ZA KIGOMA MJINI NA KIGOMA VIJIJINI
Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM na Mlezi wa
CCM Mkoa wa Kigoma, Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimina na Mbunge
wa Kigoma Vijijini, Peter Serukamba wakati aliopowasili kwenye ukumbi wa
NSSF mjini Kigoma kuzungumza na Viongozi wa CCM kutoka wilaya za Kigoma
Mjini na Kigoma Vijijini, Juni 14, 2019. Wa pili kushoto ni Mbunge wa
Kasulu Mjini, Daniel Nsanzugwako.
Baadhi ya viongozi wa CCM wa wilaya za
Kigoma Mjini na Kigoma Vijijini wakimsikiliza Mjumbe wa Kamati Kuu ya
CCM na Mlezi wa CCM Mkoa wa Kigoma, Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa wakati
alipozungumza nao kwenye ukumbi wa NSSF mjini Kigoma, Julai 14, 2019.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza
na viongozi wa CCM wa wilaya za Kigoma Mjini na Kigoma Vijijini kwenye
ukumbi wa NSSF mjini Kigoma, Julai 14, 2019. Kushoto ni Mwenyekiti wa
CCM wa Mkoa wa Kigoma, Amandus Nzamba. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
No comments:
Post a Comment