MAJALIWA AKABIDHI MSAADA WA SH. MILIONI 2.5 KWA MJASIRIAMALI WA KIGOMA
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akimkabidhi
Bw. Leonard Nkamba wa kijiji cha Kambanga wilayani Kasulu msaada wa sh.
milioni 2.5 ili zimwezesha kununua vitendea kazi vya kisasa vya kumsadia
kufanya kazi yake ya kuchonga vyombo mbalimbali vya mezani kwa kutumia
miti. Makabidhiano hayo yalifanyika mjini Kigoma Julai 24, 2019. (Picha
na Ofisi ya Waziri Mkuu)
No comments:
Post a Comment