KASI YA RAIS DKT.MAGUFULI YAZIDI KUITESA CHADEMA,KIONGOZI MUHIMU AJIUNGA CCM
Aliyekuwa Mwenyekiti wa Kijiji cha Izava
Mkoani Dodoma kupitia tiketi ya Chama hicho, Sokoine Mndewa kujiuzulu
nafasi zake zote na kujiunga na Chama cha Mapinduzi (CCM),akikabidhi
kadi yake kwa Mwenyekiti wa CCM Kata ya Segala Bw.Benjamin Sadala.
Aliyekuwa Mwenyekiti wa Kijiji cha Izava
Mkoani Dodoma kupitia tiketi ya Chama hicho, Sokoine Mndewa kujiuzulu
nafasi zake zote na kujiunga na Chama cha Mapinduzi (CCM),akizungumza na
wananchama wa CCM (hawapo pichani) mara baada ya kuhamia chama hicho.
Sehemu ya wanachama wa CCM wakimsikiliza
aliyekuwa Mwenyekiti wa Kijiji cha Izava Mkoani Dodoma kupitia tiketi ya
Chama hicho, Sokoine Mndewa kujiuzulu nafasi zake zote na kujiunga na
Chama cha Mapinduzi (CCM) akizungumza mara baada ya kuhamia CCM (hayupo
pichani).
Afisa Tarafa Itiso,Gavana Remidius
Emmanuel,akizungumza kwa kumpongeza aliyekuwa Mwenyekiti wa Kijiji cha
Izava Mkoani Dodoma kupitia tiketi ya Chama hicho, Sokoine Mndewa
kujiuzulu nafasi zake zote na kujiunga na Chama cha Mapinduzi (CCM)
Diwani wa Kata ya Buigiri Mhe.Kenneth
Yindi ,akitoa nondo zake mara baada ya kumpokea aliyekuwa Mwenyekiti wa
Kijiji cha Izava Mkoani Dodoma kupitia tiketi ya Chama hicho, Sokoine
Mndewa kujiuzulu nafasi zake zote na kujiunga na Chama cha Mapinduzi
(CCM)
Katibu Mwenezi CCM wilaya ya Chamwino
Mhe.Sostenes Tumbo,akizungumza mara baada ya kumpokea aliyekuwa
Mwenyekiti wa Kijiji cha Izava Mkoani Dodoma kupitia tiketi ya Chama
hicho, Sokoine Mndewa kujiuzulu nafasi zake zote na kujiunga na Chama
cha Mapinduzi (CCM)
Mwenyekiti CCM Kata ya Segala Bw.Benjamin
Sadala,akisisitiza jambo kwa wananchama mara ya kumpokea aliyekuwa
Mwenyekiti wa Kijiji cha Izava Mkoani Dodoma kupitia tiketi ya Chama
hicho, Sokoine Mndewa kujiuzulu nafasi zake zote na kujiunga na Chama
cha Mapinduzi (CCM) (hawapo pichani)
Mwenyekiti CCM Kata ya Chilonwa
Bi.Anastazia Madeje akizungumza mara babada ya kumpokea aliyekuwa
Mwenyekiti wa Kijiji cha Izava Mkoani Dodoma kupitia tiketi ya Chama
hicho, Sokoine Mndewa kujiuzulu nafasi zake zote na kujiunga na Chama
cha Mapinduzi (CCM)
Baadhi ya wananchama wa CCM wakipiga
makofi baada ya kumpokea aliyekuwa Mwenyekiti wa Kijiji cha Izava Mkoani
Dodoma kupitia tiketi ya Chama hicho, Sokoine Mndewa kujiuzulu nafasi
zake zote na kujiunga na Chama cha Mapinduzi (CCM)
Aliyekuwa Mwenyekiti wa Kijiji cha Izava
Mkoani Dodoma kupitia tiketi ya Chama hicho, Sokoine Mndewa kujiuzulu
nafasi zake zote na kujiunga na Chama cha Mapinduzi (CCM) akila kiapo
mbele ya Katibu Mwenezi CCM wilaya ya Chamwino Mhe.Sostenes Tumbo.
Aliyekuwa Mwenyekiti wa Kijiji cha Izava
Mkoani Dodoma kupitia tiketi ya Chama hicho, Sokoine Mndewa kujiuzulu
nafasi zake zote na kujiunga na Chama cha Mapinduzi (CCM),akisalimiana
na Diwani wa kata ya Buigiri Mhe.Kenneth Yindi.
………………………………..
Na.Alex Sonna,Izava
Chama cha Demokrasia na Maendeleo
CHADEMA, kimeendelea kupoteza viongozi wake, baada ya Aliyekua
Mwenyekiti wa Kijiji cha Izava Mkoani Dodoma kupitia tiketi ya Chama
hicho, Sokoine Mndewa kujiuzulu nafasi zake zote na kujiunga na Chama
cha Mapinduzi (CCM).
Sokoine amefikia hatua hiyo ya kujiuzulu
kutokana na kile alichoeleza kwamba Ni kukosa ushirikiano kutoka kwa
viongozi wa Chadema pamoja na kuunga mkono juhudi za Serikali ya awamu
ya Tano inayoongozwa na Rais Dk John Magufuli.
Kada huyo wa Chadema amejiunga rasmi na
CCM mbele ya Katibu wa Itikadi na Uenezi ya CCM Wilaya ya Chamwino,
Sostenes Tumbo, Gavana wa Tarafa ya Itiso, Remidius Mwema pamoja na
ambao walimkaribisha na kumuahidi ushirikiano katika kuwatumikia
wananchi.
” Niseme ukweli ninaombe mnipokee Mimi
nimezaliwa katika familia ya CCM hivyo ni kama mtoto amerejea nyumbani,
sioni haja ya kuendelea kuwa mpinzani ilihali Rais Magufuli anatekeleza
yale yote ambayo wapinzani tumekua tukiyapigia kelele kwa muda mrefu.
” Kama ni miundombinu anajenga, elimu
ameboresha tena haina malipo, vituo vya Afya vinajengwa Nchi nzima Mimi
ni nani niendelee kupinga mambo mazuri kama haya? Hivyo kuanzia leo
ninajiuzulu nafasi zangu zote ndani ya Chadema na ninaomba CCM
ikiwapendeza mnipokee,” amesema Sokoine.
Nae Gavana Remidius amempongeza Sokoine
kwa uamuzi huo wa kujiunga na CCM kwani anaamini kutaongeza kasi ya
kuwatumikia wananchi wa Tarafa ya Itiso na kutekeleza ilani ya CCM.
” Tunafahamu utendaji kazi wako, wewe ni
kiongozi kijana ambaye wananchi walikuamini, CCM ina taratibu zake hivyo
naombeni wana-CCM mumpokee kijana wetu bila maneno maneno, tumpe
ushirikiano ili kweli ajione yupo kwenye Chama ambacho kinaongoza Nchi,”
amesema Katibu Mwenezi wa CCM, Sostenes Tumbo.
No comments:
Post a Comment