Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John
Pombe Magufuli akisalimiana na Mgeni wake Rais wa Uganda Yoweri Museveni
mara baada ya kuwasili katika uwanja wa ndege wa Chato mkoani Geita.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John
Pombe Magufuli akiwa pamoja na mgeni wake Rais wa Uganda Mheshimiwa Yoweri
Museveni wakati wakipita kwenye Gadi ya Heshma iliyoandaliwa na Jeshi la
Wananchi wa Tanzania JWTZ, mara baada ya kuwasili katika uwanja wa ndege wa
Chato mkoani Geita.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt.
John Pombe Magufuli akiwa na mgeni wake Rais wa Uganda Mheshimiwa Yoweri
Museveni wakati wakiangalia vikundi mbalimbali vya Ngoma na Kwaya mara baada
ya kuwasili katika uwanja wa ndege wa Chato mkoani Geita.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John
Pombe Magufuli akizungumza jambo na mgeni wake Rais wa Uganda Mheshimiwa
Yoweri Museveni mara baada ya kuwasili katika uwanja wa ndege wa Chato mkoani
Geita.
Rais wa Uganda Mheshimiwa Yoweri Museveni akizungumza na
Wananchi wa Chato mara baada ya kuwasili katika uwanja wa ndege wa Chato
mkoani Geita.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John
Pombe Magufuli akimsindikiza mgeni wake Rais wa Uganda Mheshimiwa Yoweri
Museveni wakati akiwapungia mkono wananchi waliofika katika uwanja wa ndege wa Chato.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na mgeni wake Rais wa Uganda Mheshimiwa Yoweri
Museveni wakati waliupokuwa wakiwasalimia wananchi wa Njiapanda Chato mkoani Geita.
Sehemu ya Wananchi wa Chato waliojitokeza katika mapokezi ya
Rais wa Uganda Mheshimiwa Yoweri Museveni Chato mkoani Geita.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt.
John Pombe Magufuli akiwa na mgeni wake Rais wa Uganda Mheshimiwa Yoweri
Museveni kabla ya kuanza mazungumzo yao Chato mkoani Geita. PICHA NA
IKULU.
No comments:
Post a Comment