KIBABAGE AUNGANA NA MSUVA DIFAA EL JADID
Mlinzi wa Mtibwa Sugar na Timu ya
Tanzania vijana u20 Ngorongoro Heroes Nickson Kibabage pamoja na Kiungo
mshambuliaji wa kimatifa wa DR Congo,Jonathan Ifaso toka AS Nyuki wote
wakiwa na umri wa miaka 20 wamejiunga na Klabu Difaa El Jadida ya Morocco kwa mkataba wa miaka minne kila moja.
Nickson Kibabage anakuwa mtanzania wa
pili kujiunga na club hiyo ya Difaa El Jadid ya Morocco, baada ya Simon
Msuva kujiunga na timu hiyo pia akitokea Yanga SC misimu miwili
iliyopita.
No comments:
Post a Comment