Wednesday, November 28, 2018

MWAKILISHI MPYA JANG'OMBE AAPISHWA

SPIKA wa Baraza la Wawakilishi, Zubeir Ali Maulid akimuapisha Mwakilishi mpya wa Jimbo la Jang'ombe, Ramadhan Hamza Chande wakati wa Kikao cha kwanza cha Mkutano wa 12 wa Baraza la tisa la Wawakilishi kilichofanyika Chukwani jana.(PICHA NA HAROUB HUSSEIN).

SPIKA wa Baraza la Wawakilishi, Zubeir Ali Maulid akimkabidhi Mwakilishi mpya wa Jimbo la Jang'ombe, Ramadhan Hamza Chande mkoba wenye zana za kufanyia kazi baada ya kumuapisha  wakati wa Kikao cha kwanza cha Mkutano wa 12 wa Baraza la tisa la Wawakilishi kilichofanyika Chukwani jana.(PICHA NA HAROUB HUSSEIN).

No comments:

Post a Comment