Thursday, October 4, 2018

DKT TIZEBA ATENGUA UTEUZI WA KAIMU MKURUGENZI MKUU WA BODI YA SUKARI

Na Mathias Canal, WK

Waziri wa kilimo Mhe Dkt Charles Tizeba (Mb) Leo tarehe 4 Octoba 2018 ametengua uteuzi wa Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Bodi ya Sukari Tanzania Ndg Miraji Salumu Kipande.

Aidha, Bw Kipande amerejeshwa kwenye nafasi yake ya awali aliyokuwepo kabla ya kuteuliwa kuwa Kaimu Mkurugenzi Mkuu Bodi ya Sukari Tanzania.

No comments:

Post a Comment