Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt John Pombe Magufuli na mwenyeji wake Rais wa Jamhuri ya
Uganda Mhe. Yoweri Kaguta Museveni wakiwa wamesimama wakati nyimbo za
Taifa za nchi zao pamoja na wa Jumuiya ya Afrika Mashariki zikipigwa
kabla ya kuanza kwa sherehe za uwekaji wa jiwe la msingi la mradi wa
Bomba la Mafuta Ghafi la Afrika Mashariki (EACOP) katika kijiji cha
Luzinga pamoja na kuzindua Kituo cha Pamoja cha huduma za mpakani (One
Stop Border Post – OSBP) Mutukula nchini Uganda Novemba 9, 2017
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akikagua gwaride la heshima kabla ya
kuanza kwa sherehe za uwekaji wa jiwe la msingi la mradi wa Bomba la
Mafuta Ghafi la Afrika Mashariki (EACOP) katika kijiji cha Luzinga
pamoja na kuzindua Kituo cha Pamoja cha huduma za mpakani (One Stop
Border Post – OSBP) Mutukula nchini Uganda Novemba 9, 2017
Mke wa Rais wa Tanzania Mama
Janeth Magufuli akiwa na Mke wa Rais wa Uganda Mama Janeth Museveni
wakati nyimbo za taifa zikipigwa kabla ya kuanza kwa sherehe za uwekaji
wa jiwe la msingi la mradi wa Bomba la Mafuta Ghafi la Afrika Mashariki
(EACOP) katika kijiji cha Luzinga pamoja na kuzindua Kituo cha Pamoja
cha huduma za mpakani (One Stop Border Post – OSBP) Mutukula nchini
Uganda Novemba 9, 2017
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akitambulisha ujumbe alioongozana nao
kwa mwenyeji wake Rais wa Jamhuri ya Uganda Mhe. Yoweri Kaguta Museveni
kabla ya kuanza kwa sherehe za uwekaji wa jiwe la msingi la mradi wa
Bomba la Mafuta Ghafi la Afrika Mashariki (EACOP) katika kijiji cha
Luzinga pamoja na kuzindua Kituo cha Pamoja cha huduma za mpakani (One
Stop Border Post – OSBP) Mutukula nchini Uganda Novemba 9, 2017
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt John Pombe Magufuli na mwenyeji wake Rais wa Jamhuri ya
Uganda Mhe. Yoweri Kaguta Museveni na wake zao wakifurahia ngoma ya
utamadini ikiwa ni mojawapo ya burudani zilizopamba sherehe za uwekaji
wa jiwe la msingi la mradi wa Bomba la Mafuta Ghafi la Afrika Mashariki
(EACOP) katika kijiji cha Luzinga pamoja na kuzindua Kituo cha Pamoja
cha huduma za mpakani (One Stop Border Post – OSBP) Mutukula nchini
Uganda Novemba 9, 2017
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt John Pombe Magufuli na mwenyeji wake Rais wa Jamhuri ya
Uganda Mhe. Yoweri Kaguta Museveni na wake zao wakifurahia baada ya
kuzindua Kituo cha Pamoja cha huduma za mpakani (One Stop Border Post –
OSBP) Mutukula nchini Uganda Novemba 9, 2017
Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli na mwenyeji wake
Rais wa Jamhuri ya Uganda Mhe. Yoweri Kaguta Museveni wakiongozana na
Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) Bw. Charles Kichere
baada ya kuzindua Kituo cha Pamoja cha huduma za mpakani (One Stop
Border Post – OSBP) Mutukula nchini Uganda Novemba 9, 2017
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt John Pombe Mgufuli na mwenyeji wake Rais wa Jamhuri ya
Uganda Mhe. Yoweri Kaguta Museveni na wake zao wakifurahia ngoma ya
utamadini ikiwa ni mojawapo ya burudani zilizopamba sherehe za uwekaji
wa jiwe la msingi la mradi wa Bomba la Mafuta Ghafi la Afrika Mashariki
(EACOP) katika kijiji cha Luzinga pamoja na kuzindua Kituo cha Pamoja
cha huduma za mpakani (One Stop Border Post – OSBP) Mutukula nchini
Uganda Novemba 9, 2017
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akihutubia katika sherehe za uwekaji wa
jiwe la msingi la mradi wa Bomba la Mafuta Ghafi la Afrika Mashariki
(EACOP) katika kijiji cha Luzinga Mutukula nchini Uganda Novemba 9, 2017
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt John Pombe Magufuli na mwenyeji wake Rais wa Jamhuri ya
Uganda Mhe. Yoweri Kaguta Museveni wakiongozana na Kamishna Mkuu wa
Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) Bw. Charles Kichere baada ya kuzindua
Kituo cha Pamoja cha huduma za mpakani (One Stop Border Post – OSBP)
Mutukula nchini Uganda Novemba 9, 2017
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt John Pombe Magufuli na mwenyeji wake Rais wa Jamhuri ya
Uganda Mhe. Yoweri Kaguta Museveni wakisalimiana na baadhi ya watanzania
waishio Uganda waliohudhuria mkutano wa hadhara uliohutubiwa na
viongozi hao wawili mjini Masaka baada ya kutoka kwenye sherehe za
uwekaji wa jiwe la msingi la mradi wa Bomba la Mafuta Ghafi la Afrika
Mashariki (EACOP) katika kijiji cha Luzinga pamoja na kuzindua Kituo cha
Pamoja cha huduma za mpakani (One Stop Border Post – OSBP) Mutukula
nchini Uganda Novemba 9, 2017
Baadhi ya Mwaziri wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania wakiwa katika uzinduzi huo.
Ujumbe wa Tanzania ukiwasikiliza
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli na
mwenyeji wake Rais wa Jamhuri ya Uganda Mhe. Yoweri Kaguta Museveni
wakihurubia mkutano wa hadhara mjini Masaka baada ya kutoka kwenye
sherehe za uwekaji wa jiwe la msingi la mradi wa Bomba la Mafuta Ghafi
la Afrika Mashariki (EACOP) katika kijiji cha Luzinga pamoja na kuzindua
Kituo cha Pamoja cha huduma za mpakani (One Stop Border Post – OSBP)
Mutukula nchini Uganda Novemba 9, 2017
No comments:
Post a Comment