Ni katika ziara ya kukagua miradi mbalimbali ya maendeleo Jijini Mwanza iliyohusisha madiwani 16 wa Jiji la Mwanza pamoja na waandishi wa habari ambao nao wajikuta kwenye wakati mgumu baada ya kuzuiliwa kupigwa picha.
Msafara wa ziara hiyo ukiwa Kata ya Lwanima. Tanki la maji la Igambiti katika Kata ya Lwanima. Miongoni mwa kituo cha maji cha mradi wa maji Fumagila Kata ya Kishili ambacho kilikutwa kimefungwa. Madiwani wa Jiji la Mwanza wakishuhudia moja ya kituo cha maji cha mradi wa maji Fumagila kikitoa maji ambacho kilikutwa kikitoa maji.
No comments:
Post a Comment