Gari lililotolewa na Benki ya CRDB kwa ajili ya Jeshi la Polisi Kanda Maalum Dar es Salaam.
Kamanda
wa Polisi Kanda Maalum Dar es Salaam, Lazaro Mambosasa akiongozana na
Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Dk. Charles Kimei.
Kamanda
wa Polisi Kanda Maalum Dar es Salaam, Lazaro Mambosasa, akikata utepe
wakati wa hafla ya kupokea msaada wa gari lililotolewa na Benki ya CRDB
kwa ajili kuongeza ufanisi wa utendaji wa Jeshi la Polisi. Hafla hiyo
ilifanyika Makao Makuu ya Benki hiyo jijini Dar es Salaam. Kushoto kwake
ni Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Dk. Charles Kimei.
Kamanda
wa Polisi Kanda Maalum Dar es Salaam, Lazaro Mambosasa, akikata utepe
wakati wa hafla ya kupokea msaada wa gari lililotolewa na Benki ya CRDB
kwa Jeshi la Polisi. Hafla hiyo ilifanyika makao makuu ya benki hiyo
jijini Dar es Salaam. Kushoto kwake ni Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya
CRDB, Dk. Charles Kimei na kulia ni Mkurugenzi wa Masoko, Utafiti na
Huduma kwa Wateja wa CRDB, Tully Mwambapa.
Mkurugenzi
Mtendaji wa Benki ya CRDB, Dk. Charles Kimei, akimkabidhi Kamanda wa
Polisi Kanda Maalum Dar es Salaam, Lazaro Mambosasa, msaada wa gari kwa
Jeshi la Polisi. Hafla hiyo ilifanyika Makao Makuu ya Benki hiyo jijini
Dar es Salaam.
Kamanda
wa Polisi Kanda Maalum Dar es Salaam, Lazaro Mambosasa, akipeana mkono
na Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Dk. Charles Kimei.
Kamanda
Mambosasa akijaribu gari lililotolewa na Benki ya CRDB kwa ajili ya
kuongeza ufanisi wa utendaji wa Jeshi la Polisi Kanda Maalum Dar es
Salaam.
No comments:
Post a Comment