Monday, October 2, 2017

BAADA YA KUTUMBUA BODI YA JUMUIYA YA HIFADHI YA WANYAMAPORI MBOMIPA, WAZIRI MAGHEMBE APOKEA TAARIFA YA UTEKELEZAJI WA AGIZO ALILOTOA LA KUUNDWA UPYA KWA KATIBA

Waziri wa Maliasili, Prof. Jumanne Maghembe (katikati) akizungumza juzi mkoani Iringa mbele ya Kamati ya Ulinzi na Usalama ya mkoa huo baada ya kupokea taarifa ya utekelezaji wa agizo alilotoa mapema mwezi agosti mwaka huu la kuundwa upya kwa katiba ya Jumuiya ya Hifadhi ya Wanyamapori MBOMIPA na kuvunjwa kwa bodi ya wadhamini ya jumuiya hiyo.  Kulia ni Naibu Waziri wa Wizara hiyo, Mhandisi Ramo Makani na Mkuu wa Mkoa wa Iringa, Amina Masenza.
Waziri wa Maliasili, Prof. Jumanne Maghembe (kulia) akimsikiliza Mkuu wa Mkoa wa Iringa, Amina Masenza wakati wakiagana baada ya kupokea taarifa ya utekelezaji wa agizo alilotoa mapema mwezi agosti mwaka huu la kuundwa upya kwa katiba ya Jumuiya ya Hifadhi ya Wanyamapori MBOMIPA na kuvunjwa kwa bodi ya wadhamini ya jumuiya hiyo mkoani Iringa jana.  Nyuma yake ni Naibu Waziri wa Wizara hiyo, Mhandisi Ramo Makani na Mkuu wa Wilaya ya Iringa, Richard Kasesela. 
Naibu Waziri wa Maliasili, Mhandisi Ramo Makani (kulia)
akizungumza juzi mkoani Iringa mbele ya Kamati ya Ulinzi na Usalama ya mkoa huo baada ya Waziri wa Wizara hiyo, Prof. Jumanne Maghembe (katikati) kupokea taarifa ya utekelezaji wa agizo alilotoa mapema mwezi agosti mwaka huu la kuundwa upya kwa katiba ya Jumuiya ya Hifadhi ya Wanyamapori MBOMIPA na kuvunjwa kwa bodi ya wadhamini ya jumuiya hiyo. Kushoto ni Mkuu wa Mkoa wa Iringa, Amina Masenza.
Waziri wa Maliasili, Prof. Jumanne Maghembe (kulia)
akizungumza juzi mkoani Iringa mbele ya Kamati ya Ulinzi na Usalama ya mkoa huo baada ya kupokea taarifa ya utekelezaji wa agizo alilotoa mapema mwezi agosti mwaka huu la kuundwa upya kwa katiba ya Jumuiya ya Hifadhi ya Wanyamapori MBOMIPA na kuvunjwa kwa bodi ya wadhamini ya jumuiya hiyo.
 
 Mkuu wa Wilaya ya Iringa, Richard Kasesela akichangia hoja ya kuboresha rasimu ya katika mpya ya MBOMIPA katika kikao hicho.
Mwanasheria wa Halmashauri ya Wilaya ya Iringa, Kissah Mbilla akiwasilisha taarifa hiyo mbele ya Waziri Maghembe na Kamati ya Ulinzi na Usalama ya Mkoa wa Iringa.

No comments:

Post a Comment