Mkurugenzi wa Idara ya Habari
(MAELEZO) na Msemaji Mkuu wa Serikali Dkt. Hassan Abbasi akimkabidhi
Leseni ya Usajili wa machapisho mmiliki wa Gazeti la Hekaheka Dimbani
Bw. Abdallah Menssah mara baada ya kukamilisha taratibu za usajili leo
Jijini Dar es Salaam. Zoezi la utoaji wa Leseni kwa machapisho
linafuatia utekelezaji wa kifungu namba 5(e) cha Sheria ya Huduma za
Habari ya mwaka 2016.
Mkurugenzi wa Idara ya Habari
(MAELEZO) na Msemaji Mkuu wa Serikali Dkt. Hassan Abbasi (katikati)
akiwaelezea jambo wamiliki wa Gazeti la Hekaheka Dimbani mara baada ya
kuwakabidhi Leseni ya Usajili wa machapisho leo Jijini Dar es Salaam.
Kulia ni Abdallah Menssah na Mariam Said mara baada ya kukamilisha
taratibu za usajili leo Jijini Dar es Salaam. Zoezi la utoaji wa Leseni
kwa machapisho linafuatia utekelezaji wa kifungu namba 5(e) cha Sheria
ya Huduma za Habari ya mwaka 2016.
Picha na: Idara ya Habari – MAELEZO
No comments:
Post a Comment