Spika wa Bunge, Mheshimiwa Job
Ndugai (katikati)akiongoza kikao cha kamati ya uongozi kilichofanyika
leo katika ukumbi wa Spika Mjini Dodoma, ikiwa ni Maandalizi kabla ya
kuanza Mkutano wa 8 wa Bunge la 11 unaoendelea kesho tarehe 5 Septemba,
2017 Mjini Dodoma.
Naibu Spika wa Bunge, Mheshimiwa
Dkt. Tulia Ackson akizungumza jambo wakati wa kikao cha kamati ya
uongozi kilichofanyika leo katika ukumbi wa Spika Mjini Dodoma, ikiwa ni
Maandalizi kabla ya kuanza Mkutano wa 8 wa Bunge la 11 unaoendelea
kesho tarehe 5 Septemba, 2017 Mjini Dodoma. kushoto ni Katibu wa Bunge,
Dkt. Thomas kashililah
Wajumbe wa kamati ya uongozi
wakiwa katika kikao cha pamoja kilichoongozwa na Spika wa Bunge katika
ukumbi wa Spika Mjini Dodoma, ikiwa ni Maandalizi kabla ya kuanza
Mkutano wa 8 wa Bunge la 11 unaoendelea kesho tarehe 5 Septemba, 2017
Mjini Dodoma. kulia ni Mhe. Andrew Chenge, Mhe. Stanslaus Nyongo
(katikati) na Mhe. Christine Ishengoma (kushoto).
Wajumbe wa kamati ya uongozi
wakimsikiliza Spika wa Bunge akiongoza kikao hicho kilichofanyika leo
katika ukumbi wa Spika Mjini Dodoma, ikiwa ni Maandalizi kabla ya kuanza
Mkutano wa 8 wa Bunge la 11 unaoendelea kesho tarehe 5 Septemba, 2017
Mjini Dodoma. (PICHA NA OFISI YA BUNGE)
No comments:
Post a Comment