Waziri wa Afya,Maendeleo ya
Jamii,Jinsia ,Wazee na Watoto Ummy Mwalimu wa kwanza kushoto akikata
utepe kuashiria uzinduzi wa mpango wa mfumo wa matumizi ya
kielektroniki katika sekta ya afya uliofanyika jijini Dar es salaam
katikati ni Mwenyekiti mwenza wa Bill & Melinda gates
foundation,bilionea Bill Gates na kulia ni Waziri wa TAMISEMI
Simbachawene.
Waziri wa Afya,Maendeleo ya
Jamii,Jinsia ,Wazee na Watoto Ummy Mwalimu wa kwanza kushoto akimkabidhi
zawadi Mwenyekiti mwenza wa Bill & Melinda gates
foundation,bilionea Bill Gates wakati wa uzinduzi wa mpango wa mfumo
wa matumizi ya kielektroniki katika sekta ya afya uliofanyika jijini
Dar es salaam.
Waziri wa Afya,Maendeleo ya
Jamii,Jinsia ,Wazee na Watoto Ummy Mwalimu wa kwanza kushoto akionyesha
kitabu cha mpango wa mfumo wa matumizi ya kielektroniki katika sekta
ya afya uliofanyika jijini Dar es salaam pamoja na Mwenyekiti mwenza
wa Bill & Melinda gates foundation,bilionea Bill Gates katikati na
kulia ni Waziri wa TAMISEMI Simba Chawene.
Mwenyekiti mwenza wa Bill &
Melinda gates foundation,bilionea Bill Gates akizungumza na waandishi wa
habari pamoja na wadau wa sekta ya afya hawapo pichani wakati wa
uzinduzi wa mpango wa mfumo wa matumizi ya kielektroniki katika sekta
ya afya uliofanyika jijini Dar es salaam.
Waziri wa Afya,Maendeleo ya
Jamii,Jinsia ,Wazee na Watoto Ummy Mwalimu akizungumza na waandishi wa
habari pamoja na wadau wa sekta ya afya hawapo pichani wakati wa
uzinduzi wa mpango wa mfumo wa matumizi ya kielektroniki katika sekta
ya afya unaosimamiwa na Taasisi ya Bilionea Billgate Bill & Melinda
Gates uliofanyika jijini Dar es salaam.
Mwenyekiti mwenza wa Bill &
Melinda gates foundation,bilionea Bill Gates wa kwanza kushoto akisaini
kitabu cha wageni wakati alipokutana na Waziri wa Afya,Maendeleo ya
Jamii,Jinsia ,Wazee na Watoto Ummy Mwalimu wa pili kushoto katika ofisi
ndogo ya wizara hiyo jijini Dar es salaam ili kuzindua mpango wa mfumo
wa matumizi ya kielektroniki katika sekta ya afya.
Waziri wa Afya,Maendeleo ya
Jamii,Jinsia ,Wazee na Watoto Ummy Mwalimu katikati waliokaa akiwa
katika picha ya pamoja na baadhi ya wadau wa afya wa kwanza kulia ni
Mwenyekiti mwenza wa Bill & Melinda gates foundation,bilionea Bill
Gates na Katibu Mkuu Afya, Dkt. Mpoki Ulisubisya kushoto katika ofisi
ndogo ya wizara hiyo jijini Dar es salaam ili kuzindua mpango wa mfumo
wa matumizi ya kielektroniki katika sekta ya afya.
Wadau mbalimbali wa sekta ya afya
wakimsikiliza kwa makini Waziri wa Afya,Maendeleo ya Jamii,Jinsia
,Wazee na Watoto Ummy Mwalimu hayupo pichani jijini Dar es salaam
wakati wa uzinduzi wa mpango wa mfumo wa matumizi ya kielektroniki
katika sekta ya afya.
No comments:
Post a Comment