Kaimu Katibu Mkuu wa
Uvccm Shaka Hamdu Shaka akiipata maelezo katika kitengo cha ushonaji
nguo alipotembelelea jana kambi ya jkt Ruvu 832 akifuatana na wajumbe
wa sekr eteriet ya UVCCM Taifa. Kulia ni Kaimu katibu wa Idara ya Vyuo
na Vyuo vikuu Daniel Zenda na mwisho kulia Mkuu wa Utawala Omar
Ngwanangwalu
Kaimu Katibu Mkuu wa Uvccm Shaka Hamdu Shaka akizungumza katika mkutano wa ndani pamoja na makamanda wa Jeshi la kujenga Taifa jana alipotembelea kambi ya jkt Ruvu 832 akifuatana na wajumbe wa sekreteriet ya UVCCM Taifa
No comments:
Post a Comment