Sunday, August 20, 2017

Ujenzi wa Tazara Flyover Wakamilika kwa Asilimia 53

PIX0
Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Profesa. Makame Mbarawa akipanda juu ya Barabara ya Juu (Tazara Flyover) inayoendelea kujengwa katika eneo la Tazara Jijini Dar es Salaam wakati wa Ziara ya Rais wa Shirika la Maendeleo Kimataifa la Japan (JICA Dkt. Shinichi Kitaoka aliyewasili nchini.
PIX1
Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Profesa. Makame Mbarawa akimuelezea jambo Rais wa  Shirika la Maendeleo Kimataifa la Japan (JICA) Dkt. Shinichi Kitaoka (kushoto) alipotembelea kukagua maendeleo ujenzi wa Barabara ya Juu (Tazara Flyover) inayoendelea kujengwa katika eneo la Tazara Jijini Dar es Salaam.
PIX2
Rais wa  Shirika la Maendeleo Kimataifa la Japan (JICA) Dkt. Shinichi Kitaoka akimuelezea jambo Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Profesa Makame Mbarawa (kulia) alipotembelea kukagua maendeleo ujenzi wa Barabara ya Juu (Tazara Flyover) inayoendelea kujengwa katika eneo la Tazara Jijini Dar es Salaam.
PIX4a
Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Profesa. Makame Mbarawa akisikiliza maelezo kutoka kwa mmoja wa wataalamu wa Kampuni ya Ujenzi ya Sumitomo Mitsui  wakati wa ziara ya Rais wa  Shirika la Maendeleo Kimataifa la Japan (JICA) Dkt. Shinichi Kitaoka (watatu kushoto)  alipotembelea kukagua maendeleo ujenzi wa Barabara ya Juu (Tazara Flyover) inayoendelea kujengwa katika eneo la Tazara Jijini Dar es Salaam.
PIX4b
Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Profesa. Makame Mbarawa akitazama mchoro wa mradi wa ujenzi wa Barabara ya Juu (Tazara Flyover) wakati wa ziara ya Rais wa  Shirika la Maendeleo Kimataifa la Japan (JICA) Dkt. Shinichi Kitaoka (kushoto kwake)  alipotembelea kukagua maendeleo ya ujenzi wa Barabara hiyo Jijini Dar es Salaam.  Kushoto ni mmoja wa wataalamu wa Kampuni ya Ujenzi ya Sumitomo Mitsui ambayo ndiyo mkandarasi wa mradi huo
PIX5
Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Profesa Makame Mbarawa  na Rais wa  Shirika la Maendeleo Kimataifa la Japan (JICA) Dkt. Shinichi Kitaoka wakiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya watendaji wa TANROADS, na wataalamu wa Ujenzi mara baada ya kumaliza ziara ya kukagua maendeleo ujenzi wa Barabara ya Juu (Tazara Flyover) inayoendelea kujengwa katika eneo la Tazara Jijini Dar es Salaam.
PIX3b
Muonekano wa Juu na Pembeni mwa bararaba ya Juu (Tazara Flyover) ambao ujenzi wake umekamiklika kwa asilimia 53 na unatarajiwa kukamilika mapema mwezi wa kumi mwakani.

Picha na: Idara ya Habari – MAELEZO

No comments:

Post a Comment