Pichani
kulia, Mheshimiwa Issa Haji Ussi Gavu, Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais na
Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi akiongoza kikao cha Kamati ya
Maandalizi ya Kongamano la Diaspora jana Kisiwani Zanzibar. Kongamano
hilo la siku mbili litafanyika wiki hii, Jumatano na Alhamisi ( Agosti
23-24) kwenye Hotel ya Sea Cliff And Spa. Kulia kwa Mheshimiwa Gavu ni
Mheshimiwa Hassan Hafidh, Mjumbe wa Baraza la Wawakilishi kutoka jimbo
la Welezo na ni mdau wa Diaspora.
Wahi fursa hii kwa kujiandikisha kuhudhuria online..http://tzdiaspora.org/ registration.html
Wahi fursa hii kwa kujiandikisha kuhudhuria online..http://tzdiaspora.org/
No comments:
Post a Comment