Katibu
Mkuu Ofisi ya Rais na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Salum Maulid
Salum, akitoa taarifa kwa waandishi wa habari juu ya kongamano la nne la
kitaifa la Watanzania wanaoishi nje litakalofanyika tarehe 23 na 24
Agosti hapa Zanzibar. Hafla hiyo imefanyika Ikulu mjini Zanzibar.

Mkurugenzi wa PPR Pascal Mayalla akiuliza suali katika mkutano na
waandishi wa habari uliozungumzia Kongamano la kitaifa la Watanzania
wanaoishi nje uliofanyika Ikulu mjini Zanzibar.
Mkurugenzi
Idara ya Ushirikiano wa Kimataifa na Uratibu wa Wazanzibari wanaoishi
nje ya nchi Bi. Adila Hilali Vuai akijibu masuali yaliyoulizwa na
wandishi wa habari kuhusu maandalizi ya kongamano la kitafa
litalofanyika tarehe 23 na 24 Agosti hapa Zanzibar. (kushoto) Muandishi
wa habari Rahma Suleiman wa Chuchu Fm Redio.
Picha na Makame Mshenga.
No comments:
Post a Comment