Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini
(IGP) Simon Sirro, akiwakabidhi bendera ya taifa askari kumi (10)
waliopata uteuzi wa kwenda kuiwakilisha nchi ya Tanzania kwenye kazi ya
Ulinzi wa Amani nchini Sudani ya Kusini (UNMISS) IGP Sirro, amewataka
askari hao kufanya kazi kwa weledi na kwa kuzingatia misingi ya sheria
na taratibu. Picha na Jeshi la Polisi.
Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini
(IGP) Simon Sirro, AKIWA KWENYE PICHA na askari waliopata uteuzi wa
kwenda kuiwakilisha nchi ya Tanzania kwenye kazi ya Ulinzi wa Amani
nchini Sudani ya Kusini (UNMISS) IGP Sirro, amewataka askari hao kufanya
kazi kwa weledi na kwa kuzingatia misingi ya sheria na taratibu. Picha
na Jeshi la Polisi.
No comments:
Post a Comment